HI EVERY ONE. I WELCOME YOU TO LEARN SWAHILI LANGUAGE. I HAVE GOD MASTERY OF THE LANGUAGE SINCE IT IS MY FIRST LANGUAGE AND ALSO AM A GRADUATE (NIMEKIFUNZA KISWAHILI KWA ZAIDI YA MIAKA MITANO NA KATIKA SHULE TOFAUTI NCHINI KENYA,NIMEANDIKA MAKALA NA YAKACHAPISHWA KWENYE GAZETI LA TAIFA LEO. NAFUNZA KWA KUTUMIA MBINU ZOTE ZA UFUNZAJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA)
i will be teaching listening,speaking and writing (Nafunza kusikiliza na kuongea kwanzia gradi ya kwanza hadi gredi ya nane,nufunza kusoma,msamiati na pia kuandika. Naeza funza zaidi ya saa kumi. Nina nidhamu ya hali ya juu kwangu na kwa mwanafunzi. yote tisa kumi ni kuwa mimi ni mcha Mungu)
nafunza kwa kutumia mbinu za kuvutia kama majadiliano na wanafunzi. Natumia pia teknolojia ili kuleta uhalisia. Nataini wanafunzi baada ya muda fulani ili kubaini uelewaji wao .Wakati huu wa janga la korona natumia sana zoom katika ufunzaji